Friday, November 27, 2015




Aliyekuwa Kamishna wa TRA Rished Bade
Rais John Pombe Magufuli amemsimamisha kazi kamishna wa mamlaka ya mapato TRA Bw.Rished Bade na kumteua Bw.Philiph Mpango kukaimu nafasi hiyo.
Taarifa kutoka ikulu zimesema kuwa uamuzi huo wa rais Magufuli umefuatia ziara ya waziri mkuu bandarini uliobaini upotevu wa makontena 349.
Aidha rais Magufuli amemtaka Rished Bade kutoa ushirikiano kwa Philiph Mpango wakati uchunguzi ukiendelea.

1 comment:

  1. Bila huruma, hyu anyongwe tu na wenzake wote waliosimamishwa pia bila kusahau kuwakamata kina Mwinyi, Mkapa na JK.

    ReplyDelete