Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dk John Magufuli Ametangaza kufuta Sherehe za siku ya Ukimwi..Rais
Magufuli Pia Ameagiza Pesa zote
zilizotakiwa Kwenye Sherehe hizo Zitumike Kununulia Dawa.Ikumbukwe Tarehe 1 December Kila Mwaka Huwa ni Siku ya Ukimwi Dunia.Sherehe hizo zilikuwa Zifanyike Kitaifa Mkoani Singida

0 comments:
Post a Comment