Wednesday, November 25, 2015

DIAMOND2


Diamond yuko SA na happa alienda kwenye BET Experience ,Green Carpet.

He wore this printed t shirt of his to tell you the truth the tee is nice and cute went well with all black but sijapenda hapa aliposimama na red carpet too much going on kwakweli maana yeye na the wall kama wana blend in .
Not cute .
plutnumz
DIAMOND

Hapa akiwa na familia yake .

One thing kuhusu diamond he is a Dotting Dad kwakweli always kumpost mwanae and all inapendeza.


Is Diamond a simple man maana kutoka kwenye mtoko na familia mpaka kwa Green Carpet with the same look .

0 comments:

Post a Comment