Posted by Williammalecela.com on Tuesday, November 17, 2015
Katibu
wa Bunge Mh Dkt Thomasi Kashilila
Amemtangaza Mh Job ndugai kuwa Spika
wa Bunge la 11 baada ya Kujinyakulia Kura 254 sawa na 70% ya Kura zote
zilizopigwa.MhNdugai amewashinda Wagombea wengine kutoka vyama na
makundi Mbalimbali
0 comments:
Post a Comment