Kuna hofu kwamba wanawake wengi hawakupiga kura kwa kuhofia kuachwa na waume zaoWanaume ambao walitelekeza watoto wao baada ya kutokukubaliana na mawazo ya wake zao katika Uchaguzi wa Zanzibar wametakiwa kujizali familia zao, mwanasheria wa haki za wanawake ameiambia BBC.Wito huo umekuja baada ya talaka kufuatia uchaguzi wa Oktoba.Kura za uchaguzi katika kisiwa hiko zilifutwa.Hata hivyo, Gazeti la Daily News la Tanzania linaripoti kuwa wanawake nane walikutana na wanasheria na kuwaambia kuwa waume zao waliwapa talaka kutokana na kuchagua kupiga kura kwa wagombea wawatakao.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment