"Ukitoa mke wa Kubenea,hawala wa Mbowe(mukya) na aliyegawa kura Segerea (anatropia)naona nafasi ya nusrat hanje Remija Wa Yesu Zaynab Ashraff au unaweza weka Asia Msangi Agnesta Lambert na Doreen Don.
Nawataki kila la heri walioteuliwa japo wapinzani tumeshindwa kuonyesha tofauti yetu na CCM kwa kuvitumia hovyo viti maalum."
Nawataki kila la heri walioteuliwa japo wapinzani tumeshindwa kuonyesha tofauti yetu na CCM kwa kuvitumia hovyo viti maalum."

0 comments:
Post a Comment