Posted by Williammalecela.com on Monday, November 30, 2015
Makamu
Mkuu wa Chuo cha kumbukumbu ya Hubert Kairuki Profesa, Kito Mshigeni
akizugumza na wanafunzi juu ya kutumia elimu waliyoipata kuwasaidia,
kuwainua, na kuwaletea matumaini mapya wote wenye uhitaji katika
jamii, kwa kadri ya uwezo wao, ameyazungunza hayo katika mahafali ya 13
ya chuo kuu cha kumbukumbu ya Hubert Kairuki Jijini Dar es Salaam.Brass Band ikiendelea kutumbuiza katika mahafali ya 13 ya chuo kikuu cha kumbukumbu cha Hubert Kairuki leo Jijini Dar es Salaam.Baadhi ya wahitimu wa Kozi ya cheti cha Uuguzi wakila kiapo, leo Jijini Dar es Salaam.Sehemu
ya wahitimu na wazazi waliohudhuria katika mahafali ya 13 ya chuo
kikuu cha kumbukumbu ya Hubert Kairuki leo Jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa Globu ya jamii).
0 comments:
Post a Comment