Friday, November 27, 2015

12292729_1514452005519363_325519831_n
Mayunga yupo nchini Marekani alikoenda kufanya wimbo na Akon. Wimbo huo ni sehemu ya mambo anayotakiwa kufanya baada ya kushinda shindano la Airtel Trace Music Star.


12277656_1665325393744095_1161270589_n

Tayari wawili hao wamesharekodi wimbo huo na kinachofuata sasa ni video ya muziki.

Alhamis hii Mayunga alieleza kupitia Instagram kuwa model atakayetumika kwenye video hiyo aliwahi kutumika kwenye video ya wimbo wa Big Sean na Chris Brown.

“Anaitwa @itsssvia unaweza kumtazama katika video ya big sean ft chris brown alionekana kama mhusika mkuu wa kike na nina furaha kuhusika katika video yangu kama video queen,” Mayunga aliandika kwenye picha aliyoiweka Instagram akiwa na msichana huyo.



Viandra anaonekana kwenye video ya wimbo wa Big Sean aliowashirikisha Chris Brown na Ty Dolla $ign ‘Play No Games.’

12224320_1504221133207530_1923105977_n

11032879_665519730241511_1363650231_n

12063009_1795476590679419_1023321409_n

12105084_977400878987300_1560311624_n

12142140_176173272721952_692440723_n

0 comments:

Post a Comment