Kingkiba aka Alikiba ametua Los angeles, Marekani ambapo ameenda kushoot video ya wimbo wake mpya ‘Lupela’
Alikiba amefanya kazi na mwalimu wa dance (choreographer) maarufu zaidi nchini Marekani, Oththan Burnside ambaye amewahi kufanya kazi na wasanii wakubwa wa nchini humo ikiwemo Chris brown, Ciara, Nick Minaj, Ne-yo, Ashanti, Rihanna, Justin bieber na wengine ikiwa ni pamoja na kushiriki kwenye uandaaji wa video zao na kuzunguka kwenye tour zao za Music, Tumekukusanyia picha za behind the Scene ya utengenezaji wa Video hiyo
Huyu ndio mrembo aliyetumika kwenye video hiyo
0 comments:
Post a Comment