Posted by Williammalecela.com on Thursday, November 05, 2015
Ikiwa
leo Novemba 5, 2015 ndio Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amemaliza muda wake
wa kuongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
huku Dk.John Pombe
Magufuli akiapishwa kama rais wa awamo wa 5 wa kuliongoza taifa
hili.Sasa kupitia kwenye akaunti ya twitter ya Jakaya Mrisho Kikwete
ameyaandika haya
0 comments:
Post a Comment