Posted by Williammalecela.com on Saturday, November 21, 2015
Staa nambari moja Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.
NI
gumzo! Ubuyu motomoto ambao unasambaa kwa kasi ya ajabu kama moto wa
kifuu mjini unadai
kuwa, staa nambari moja Bongo Fleva, Nasibu Abdul
‘Diamond Platnumz’ na mwigizaji Kajala Masanja wamedaiwa kuwa ni wapenzi
na sasa ni mahaba niue
0 comments:
Post a Comment