IFIKE MAHALI UKAWA MUWE NA BUSARA.Video clip hii ilichukuliwa wakati askari alipotoa tangazo la kuwa hawakuruhusiwa hata kuwa kwenye viwanja vya Bunge kwa kuwa walikiuka maadili ndani ya Bunge.Wabunge hawa wanasikika wakijitetea kuwa Wana kadi za kupata chakula kwenye tafrija ya kujipongeza kwa uzinduzi wa Bunge.Sasa hawa wanasherekea uzinduzi upi ? Je tuliwatuma kwenda kukipigania chakula Dodoma?
Posted by Thadei Ole Mushi on Saturday, November 21, 2015
Saturday, November 21, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment