Tuesday, November 24, 2015



Mvutano mkali umejitokeza baina ya familia iliyomuoa binti Farhan Ramzan mwneye umri wa miaka 18 na wazazi wa binti huyo ambao wanadai hawatambui ndoa hiyo inayodaiwa kufungwa katika ofisi ya mkuu wa wilaya jijini Mbeya.
Posted by ITV Tanzania on Monday, November 23, 2015

0 comments:

Post a Comment