Michuano ya CECAFA CHALENJI CUP inaendelea kushika kasi huko Ethiopia, huku Malawi ikiifunga Sudan 2-1.
Hapo jana pia Timu ya Sudan kusini iliichapa Djibouti Bao 2-0.
Leo Jumanne, Zanzibar Heroes watacheza na Uganda ambao walichapwa 2-0 na Kenya zikiwa ni Mechi za Kundi B, Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars watavaana na Rwanda.
0 comments:
Post a Comment