#Habari:Wabunge wa Chama cha Mapinduzi wamempitisha kwa kauli moja,Dakta.TULIA ACKSON MWANSASU kuwa mgombea wa Unaibu Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho,NAPE NNAUYE amesema Dakta.TULIA amepita baada ya wana CCM wawili walioingia tatu bora pamoja naye,BAHATI ABEID na MARIAM KISANGI kujitoa.
Posted by RadioOneStereo on Wednesday, November 18, 2015
Wednesday, November 18, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment