LEMUTUZ

Wednesday, November 18, 2015

MBUNGE AGEUKA MFALME ONA HAPA KILICHOJIRI LEO ASUBUHI DODOMA BUNGENI LIVE!!

Posted by Williammalecela.com on Wednesday, November 18, 2015
Mbunge wa Tarime Vijijini John Heche akibebwa na wapiga wake mara baada ya kuapishwa leo Bungeni mjini Dodoma.

Mbunge wa Tarime Vijijini John Heche akibebwa na wapiga wake mara baada ya kuapishwa leo Bungeni mjini Dodoma.
Katika isiyo ya kawaida wananchi ambao ni wapiga kura kutoka Tarime Vijijini mkoani Mara wamemvamia na kumbeba juu juu kama mfalme  Mbunge wao Bw.John Heche Wegesa mara baada ya kuapa ambapo sasa ni Mbunge rasmi wa Jimbo hilo.
Wananchi  hao waliozingira nje ya ukumbi wa Bunge walio onekana wenye furaha huku wakiimba nyimbo mbalimbali kwa lugha ya makabila yao mara baada ya kumuona Mbunge wao Bw.Heche akitoka Bungeni kuapishwa.
Aidha, Heche alimbwaga mpinzani wake kutoka chama cha Mapinduzi (CCM) Bw. Kangoye Christopher Ryoba katika uchaguzi mkuu uliofanyika 0ktoba 25.
Katika uchaguzi huo Heche alipata kura47,249 huku mpinzani wake wa karibu akiambulia kura 42325.
Wananchi wakimpongeza John Heche baada ya kuapishwa kuwa Mbunge rasmi w Musoa Vijijini
Wananchi wakimpongeza John Heche baada ya kuapishwa kuwa Mbunge rasmi w Musoa Vijijini
Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

TOTAL PAGEVIEWS

Popular Posts

  • LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI
  • BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI
  • THE UDAKUZ: WEMA SEPETU Vs WOLPER!!
  • IRAN NA MAREKANI WAZIDI KUIMARISHA UHUSIANO
  • PICHA YA KWANZA YA KANISA LA ASKOFU MTATA GWAJIMA BAADA YA KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA YA SERIKALI JANA LIVE.
Copyright © LEMUTUZ

Developed by MKCT