Staa wa sinema za Kibongo, Jenifer Kyaka 'Odama'
Hawa
ni miongoni mwa wasanii watatu wa kike, ambao wanafanya vizuri katika
tasnia ya filamu hapa nchini Tanzania kwa utengenezaji bora wa filamu
hizo na zenye kuvutia mashabiki hasa katika uuzwaji wa filamu zao hii
inawafanya waendelee kuwa bora kila mwaka katika soko la filamu kutokana
na ubunifu na mbinu mbalimbali katika utengenezwaji wa filamu zao .

Msanii wa Filamu za Bongo, Riyama Ally
Wasanii
hawa wamejizolea umahiri huo kutoka kwa mashabiki wao kwa kuwavuta
kihisia kutokana na madhari wanazokuwa wakifanyia filamu zao.
Hii imedhiilika mwaka huu kwani hawana tatizo na watu kwani wao wanawaza kufanya kazi zao kiufanisi zaidi.
Msanii wa Filamu za Bongo, Shamsa Ford
WASANII WA KIKE WENYE MASHABIKI WENGI SOKONI

0 comments:
Post a Comment