Posted by Williammalecela.com on Sunday, November 22, 2015
Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakisalimiana na viongozi wa mkoa wa Morogoro wakati waliposimama kwa muda mjini Morogoro wakiwa njiani kuelekea Dar es salaam wakitoka Dodoma Novemba 22, 2015. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Rajabu Rutengwe (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment