Kiongozi
wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema nguvu ya aliyekuwa
mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa ilivuruga mpango
wake wa kupokea wabunge 50 kabla ya Uchaguzi Mkuu.
Alisema Lowassa aliyekuwa akiungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) alikuwa na nguvu kubwa kiasi cha kufanya ACT pia ishindwe kupata wabunge wengi katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika nchini Oktoba
25.

0 comments:
Post a Comment