Balozi
wa Tanzania nchini Canada, Mhe. Jack Mugendi Zoka akifanya usafi nje ya
ofisi yake mjini Ottawa, ikiwa ni sehemu ya kutekeleza agizo la Mhe.
Rais Dk. John Pombe Magufuli la kufanya usafi siku ya maadhimisho ya
miaka 54 ya Uhuru wa Tanzania.
Balozi
wa Tanzania nchini Canada, Balozi Jack Mugendi Zoka, akiwa pamoja na
maafisa wa Ubalozi wakitekeleza kwa vitendo agizo la Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli la
kusherehekea Sikukuu ya Uhuru na Kazi yaani siku ya tarehe 9 Desemba kwa
kufanya kazi na kusafisha mazingira ya Ubalozi.
Mheshimiwa Balozi na afisa wa Ubalozi wakiendelea na usafi.
Mheshimiwa Balozi na afisa wa Ubalozi wakiendelea na usafi.
Balozi
wa Tanzania nchini Canada, Balozi Jack Mugendi Zoka, pamoja na maafisa
wa Ubalozi wakiendelea na zoezi la usafi nje ya Ubalozi huo.
Balozi
wa Tanzania nchini Canada, Balozi Jack Mugendi Zoka, akiwa kwenye picha
ya pamoja na maafisa wa Ubalozi mara baada ya kutekeleza kwa vitendo
agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli la kusherehekea Sikukuu ya Uhuru na Kazi.








0 comments:
Post a Comment