Friday, December 11, 2015

 
Katika kile kinachoonekana kuwa ni mwendelezo wa vita dhidi ya vitendo vya kifisadi, Rais John Magufuli ameibua mbinu mpya ya kuwalazimisha watumishi
wote wa nafasi za juu kwenye ofisi za umma kusaini kiapo maalum cha uadilifu chenye masharti 13 ambayo yakitekelezwa vyema yataziba mianya yote ya ubadhirifu wa fedha za umma.  

0 comments:

Post a Comment