Friday, December 4, 2015




KLABU ya Stand United inayoshiriki ligi kuu sokaTanzania Bara imemtupia virago aliyekuwa mume wa msanii mahiri wa filamu nchini Irine Uwoya,Hamid Ndikumana kufuatia kushindwa kuonyesha kiwango kizuri katika timu hiyo.

Taarifa rasmi na za uhakika kutoka katika klabu hiyo kupitia katika ukurasa wake wa kijamii wa Twitter zinasema kuwa Ndikumana ametupiwa virago sambamba na Hamad Mwanzi,Shabani Dunia na John Mwenda,aidha taarifa hiyo imefafanua wachezaji hao wapo huru kujiunga na timu nyingine yeyote kwa kuwa sasa wapo huru kufanya hivyo

0 comments:

Post a Comment