![]() |
| Marehemu Geofrey aliyepigwa kisu na mchumba wake siku chache kabla ya kufunga ndoa. |
![]() |
| Mtuhumiwa aliyemuua Mchumba wake |
MADAI
MAZITO! Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni, Dar limesema linamshikilia
mwanadada Rhoda Daudi kwa tuhuma ya kumuua kwa kumchoma kisu, Geofrey
Valeli Kapulula (37) aliyetarajia kufunga naye ndoa hivi karibuni.
Tukio hilo la kutisha na ambalo limeacha maswali, lilijiri maeneo ya Ubungo National Housing (NHC) jijini Dar es Salaam...



0 comments:
Post a Comment