Wednesday, December 23, 2015

Huyu ndiye Bruno kijana aliyehukumiwa kufungwa miaka 2 jela jana mahakama ya Kisutu kwa kutumia vibaya Mitandao ya kijamii.
Kijana huyu aliandika kwenye Facebook yake kufurahishwa na kitendo cha Majambazi kuvamia kituo cha Polisi Sitakishari na kuua Askari Polisi miezi kadhaa iliyopita.

Bruno alipomtembelea Mgombea Urais wa UKAWA miezi michache kabla hajaandika maandishi ya ajabu yaliyompeleka jela jana kwa miaka 2.

0 comments:

Post a Comment