Monday, December 21, 2015

 
Waziri mkuu mstaafu Mzee Cleopa David Msuya amemtaka Rais John P. Magufuli kukisuka upya chama cha mapinduzi na kukirudisha kwenye misingi yake iliyoachwa na Baba wa taifa mwl. ‪#‎JKNyerere‬.


Pia amemuomba Rais Magufuli kuwaondoa wote wanachama wanafiki ndumia kuwili waliokisaliti chama mzee Msuya alisema ni heri chama CCM ikabaki na wanachama wachache kuliko kuwa na wanachama wengi wanafiki na waroho wa madaraka.

Asante sana mzee Msuya kwa kusema ukweli ndio hazina ya taifa kuwa na wazee washauri.

0 comments:

Post a Comment