Muda mfupi baada ya Bodi ya MCC kutoa taarifa inayoonesha Tanzania haitapata msaada kutoka shirika hilo kama ilivyotarajiwa kwa ajili ya mwaka 2016, Mwenyekiti wa Chama (T), Freema Mbowe ametoa kauli nzito juu ya suala hilo akisema kuwa kuchelewa kupatikana kwa fedha za MCC si tu kunachafua jina la nchi na hadhi yake katika medani za kimataifa, bali kutaathiri kwa kiasi kikubwa miradi yote iliyo chini ya ufadhili wa MCC.
Friday, December 18, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Huyo mbowe ni mwana mabadiliko gani anaeamini omba omba. Kitu chenyewe kinaitwa misaada mtu ana hiyari yake akusaidie au asikusadie au akusadie kwa masimango.
ReplyDelete