Tuesday, December 8, 2015




CHAMA Cha Chamapinduzi 'CCM' hivi punde kimeipongeza Serikali ya Dr John Magufuli kwa kutekeleza kwa vitendo ilani ya Chama Cha Mapinduzi ya mwaka 2015-2020 kwa kuanza na kupambana na ufisadi nchini.

Taarifa kutoka katika kamati kuu ya CCM,inasema kuwa inaimani kubwa na Serikali ya Magufuli katika kutatua shida za Watanzania huku ikisema kuwa inafurahishwa na kasi ya Mgaufuli katika kusimamia mapato ya nchi hasa yatokanayo na Bandari na Kodi.



0 comments:

Post a Comment