STAA wa Tanzania katika upande wa mziki wa kizazai kipya.Diamond Platnumz ameendelea kudhihirisha ni jinsi gani anavyokubalika kwa mashabiki wake ambapo muda mfupi toka atue jijini Arusha kwa ajili ya show yake ya kesho mapokezi aliyoyapa yamevuja rekodi.
Katika picha alizoweka katika ukurasa wake wa instgram,Diamond ameonekana kuwa miongoni mwa wasanii wa Tanzania wanaokubalika zaidi nchini kwani ameoneka akilakiwa kwa rubega ('mavazi ya kimasi') na kukabidhiwa kifimbo cha kimasai

0 comments:
Post a Comment