WAZIRI wa Ofisi ya Rais ,TAMISEMI,utumishi na Utawala bora,George Simbachawene ametangaza vita na wakuu wa mikoa,wakuu wa wilaya na wakuu wa ofisi za umaa kuwa ama zao ama zake lazima kazi ya kuwatumikia wananchi ifanyike ipasavyo.
Simbachawene amesema hayo muda mfupi mara baada ya kuapishwa kuwa Waziri katika wizara hiyo ambapo amesema kuwa jambo la kwanza atakalo lifanya ni kuhakikisha anafika kila ofisi ya Serikali za umma na kupamba na watumishi wazembe

0 comments:
Post a Comment