Naibu Waziri wa Wizara ya Elimu,Sayansi,Teknolojia na Ufundi Eng Stella Manyanya amemuomba radhi Rais Magufuli na watanzania kwa ujumla kwa kitengo chake cha kupatwa na kigugumizi wakati akila kiapo cha kuitumikia wizara hiyo.
Eng Manyanya amesema kuwa kilichosababisha yeye kusuasua kusoma kiapo cha unaibu uwaziri wa Wizara hiyo ni kutokana na kuisahau miwani yake alipokuwa amekaa

0 comments:
Post a Comment