Thursday, December 24, 2015

 


 Kupitia ukurasa wake wa instagram leo msanii rapa wa Bongo Fleva Maarufu kama Young Dee aliposti picha ya vipande vya noti ya shilingi 10000, ambayo aliiandikia maneno ya Ila ingekuwa $USD nisingethubutu… kabla hujacommenti do the math…” jambo ambalo lilizua mjadala mkubwa naku wafanya watu wamtolee maneno makali kuashiria kuchukizwa na jambo hilo kwa kuwa waliamini kuwa amechana noti hiyo.

Hata hivyo ndani ya dakika chache msanii huyo aliondoa picha hiyo bila kuongea kitu chochote,

1 comment:

  1. Dogo pamoja na a nacho kula na kunywa,atambue kuwa hela ni mali ya serikali na kuichana kwa maksudi ni kosa la jinai.

    ReplyDelete