Posted by Williammalecela.com on Thursday, December 24, 2015
Kupitia ukurasa wake wa instagram leo
msanii rapa wa Bongo Fleva Maarufu kama Young Dee aliposti picha ya
vipande vya noti ya shilingi 10000, ambayo aliiandikia maneno ya ” Ila ingekuwa $USD nisingethubutu… kabla hujacommenti do the math…”
jambo ambalo lilizua mjadala mkubwa naku wafanya watu wamtolee maneno
makali kuashiria kuchukizwa na jambo hilo kwa kuwa waliamini kuwa
amechana noti hiyo.
Hata hivyo ndani ya dakika chache msanii huyo aliondoa picha hiyo bila kuongea kitu chochote,
Dogo pamoja na a nacho kula na kunywa,atambue kuwa hela ni mali ya serikali na kuichana kwa maksudi ni kosa la jinai.
ReplyDelete