KATIKA kile kinachoonekana kutotaka masikhara na uzembe uzembe katika Serikali yake,Rais Dr John Magufuli ametengua uteuzi wa mkurugenzi mkuu wa Bandari Awadh Massawe pamoja na Mwenyekiti wa bodi Mhandisi Prof. Joseph Msambichaka
Taarifa zinasema kuwa Dr Magufuli ameamua kufanya hivyo kutokana na uzembe uliokithiri wa baadhi ya maofisa wa bandari ambao umechangia Serikali kupoteza mabilioni ya fedha kwa kutowadai kodi wafanyabaishara waliokuwa wakiitumia bandari kama kichaka chao
Aidha mwingine aliyekubwa na dhoruba hiyo ni Katibu Mkuu wa Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Shaaban Mwinjaka


0 comments:
Post a Comment