RAIS wa Shirikisho la Soka Nchini,(TFF) Jamali Malinzi amempongeza Katibu Mkuu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi 'CCM' Nape Nnauye kwa kuteuliwa kuwa Waziri wa Habari,Utamaduni ,Wasanii na Michezo na Rais Dr Magufuli hivi Leo
Hongera sana @CCM_Nnauye kwa kuteuliwa kuongoza Wizara yenye dhamana ya michezo.Pamoja Tanzania itang'ara kimataifa katika michezo.
— Jamal Malinzi (@jamalmalinzi) December 10, 2015

0 comments:
Post a Comment