Thursday, December 10, 2015






Kampuni ya Murzah Wilmar yatoa Msaada wa Basi kwa Timu ya Mpira wa miguu ya KINO BOYS hivi leo,
akipokea Msaada huyo Mwenyekiti wa Bodi ya Timu hiyo Mstahiki Mstaafu Mh Yusuph Mwenda na Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni Mhandisi Mussa Natty kwa pamoja waliishukuru kampuni hiyo kwa kuonyesha moyo wa kizalendo kwa kutoa Basi kwa timu hiyo ya wananchi wa Kinondoni. Pata picha mbalimbali za tukio hilo.
LikeComment

0 comments:

Post a Comment