MBUNGE wa Kigoma Mjini,Zitto Kabwe ameishauri Serikali ya Rais John Magufuli kuhakikisha inalipa kipaumbele suala la mzozo wa kisiasa nchini Burundi ili kuhakikisha raia wa taifa hilo wanapata amani ya maisha.
Kauli ya mbunge huyo ambaye ni pia ni Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo,inakuja ikiwa ni siku moja toka kuibuka kwa taarifa za vifo vya watu zaidi nchini humo
#Burundi shall be our top priority in foreign policy. We shall not sit aside while hundreds of people being butchered there
— Zitto Kabwe Ruyagwa (@zittokabwe) December 13, 2015

0 comments:
Post a Comment