Thursday, December 24, 2015

christian bellaaChristian Bella ‘Obama’.
KING of the Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’ anatarajiwa kuonjesha ngoma yake mpya aliyomshirikisha mkongwe wa muziki kutoka Kongo (DRC), Koffi Olomide siku ya mkesha wa Mwaka Mpya ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani,
Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem, Dar.
Akizungumza na Vijstori f’lani hivi, Bella anayebamba na Ngoma ya Nashindwa na Amerudi akiwa na Malaika Music Band, alisema kuwa siku hiyo mashabiki wake watapata bahati ya kuzisikia pia nyimbo zake mpya mbili.
CHANZO;GPL

0 comments:

Post a Comment