Thursday, December 24, 2015

Hatimaye Diamond amekutana na familia ya mpenzi wake, Zarinah hassan.

zarii
Diamond ambaye alikua nchini Uganda kwa ajili ya show ya ‘Born To Win’ amepata nafasi ya kukutana na watoto wengine watatu wa Zari.
zari

Diamond aliweka picha akiwa na Familia ya zari na kuandika “Me and my Stars!…Basi Hapo Vikurubembe roho zinawau
zariiiiiiii
                        Diamond, Tiffah na mama mzazi wa Zari.

0 comments:

Post a Comment