Staa wa filamu Bongo, Halima Yahaya ‘Davina’.
Staa
wa filamu Bongo, Halima Yahaya ‘Davina’ hivi karibuni alianika
‘mazagazaga’ yake aliyoyapamba kwenye kiuno chake alipokuwa kwenye kibao
kata cha ndugu yake kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Future Resort,
uliopo Mbezi Beach jijini Dar.
Davina ambaye alionekana
mwenye furaha siku hiyo alivalia dera lake ambalo kwa nyuma alilipasua
na kuacha sehemu kubwa ya mgongo wake wazi akiwa amejichora ‘tatuu’ huku
cheni ya dhahabu ikiwa inaonekana.
“Duuh umemuona Davina hapo
mgongoni kajichora vizuri na akigeuka kwa mbele huwezi kujua kabisa kama
nyuma yupo wazi lakini kwa upande wangu mimi naona kapendeza sana,”
alisikika mtu mmoja ambaye alihudhuria katika sherehe hiyo.
0 comments:
Post a Comment