Sunday, December 27, 2015

Kauli za Dk. Slaa zimekuja baada ya Mchungaji Gwajima kujitokeza kwenye media na kudai hakuwahi kuwa mfuasi wa Lowassa bali ni mfuasi wa mabadiliko ya nchi na siyo mfuasi wa mtu au personality ya mtu.
Ikumbukwe Dk. Slaa aliamua kuwa mkimya katika kipindi ambacho taifa likikuwa katika harakati za kampeni za Uchaguzi Mkuu.
Dk. Slaa ameyasema haya kupitia akaunti yake rasmi 
Dk. Slaa amesema, By Dr.W.Slaa 

0 comments:

Post a Comment