WAKATI watanzania wakiongozwa na Mhe Rais Dr Magufuli katika kusherekea siku ya uhuru kwa kufanya kazi za usafi kuzunguka maeneo yaliyo karibu na makazi yao,aliyekuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA,Edward Lowassa ameibuka na mapya.
Kupitia ukurasa wake rasmi wa facebook Lowassa ameonyesha kupuuzia agizo la Mhe Rais la kufanya usafi ambapo yeye ameendeleza siasa za madadiliko hewa ambazo anaamini kuwa zitasaidi nchi kupiga hatua
Wakati tunaadhimisha miaka 54 ya uhuru wa nchi yetu, ni lazima kuzidisha juhudi za kutaka mabadiliko yatakayotutoa...
Posted by Edward Ngoyai Lowassa on 8 Disemba 2015

0 comments:
Post a Comment