MBUNGE wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia ACT Wazalendo Zitto Zuberi Kabwe ameungana na watanzania katika kutekeleza agizo la Rais Magufuli la kusafisha maeneo yao katika kusherekea siku ya Uhuru wa iliyokuwa Tanganyika
Zitto ameungana na wananchi wa jimbo lake katika kufyeka majani katika kituo cha afya cha Rusimbi kabla ya kuelekea katika shule ya msingi Kipampa ambapo alizungumza na walimu na wanafunzi wa shule hilo
Ufyekaji Zahanati ya Rusimbi, kata ya Rusimbi katika Manispaa ya Kigoma Ujiji. Siku ya Uhuru wa Tanganyika na siku ya Usafi kwa agizo la Mkuu wa Nchi....
Posted by Zitto Kabwe on 8 Disemba 2015


0 comments:
Post a Comment