Tuesday, December 8, 2015

 

MSANII wa filamu Wema Sepetu ameacha gumzo mitandao mara baada ya kusambaza video tata inayomwonyesha mwanaume akicheza nusu uchi.

Pamoja na video hiyo kutozua sintofahamu kwa mashabiki wake ,lakini kimaadili video hiyo ilikuwa inapotosha na kuvunja maadili ya mtanzania juu ya kutunza utupu wake

0 comments:

Post a Comment