DIWANI wa Kata la Kilungule kupitia CCM,Said Fella amefunguka kwa kuwashukuru wananchi wote wa kata ya Kilungule kwa kumuamini na kumpa nafasi ya kuwatumikia katika nafasi ya udiwani,huku akiwaahidi kuwa mara moja ataanza kufanya kazi kwa kuwa sasa ni diwani kamili
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment