Njia bora ya kumsaidia maskini ni kumsomesha mtoto wake. Nawaomba watu wote wenye mapenzi mema tuungane kujenga Secondary 6 ktk Wilaya yetu ya Kinondoni ili kuwezesha vijana zaidi ya 3183 kuendelea na masomo yao. Kazi ya ujenzi inaanza tareh 5/1/2016. Kwa kufanya hivi tutawaokoa vijana hawa na Mimba za utotoni, Magonjwa, matumizi ya madawa la kulevya na hata ukabaji. Nawaomba tena tuunganishe nguvu zetu.A photo posted by Paul Makonda (@paulmakonda) on Dec 30, 2015 at 1:46am PST
Njia bora ya kumsaidia maskini ni kumsomesha mtoto wake. Nawaomba watu wote wenye mapenzi mema tuungane kujenga Secondary 6 ktk Wilaya yetu ya Kinondoni ili kuwezesha vijana zaidi ya 3183 kuendelea na masomo yao. Kazi ya ujenzi inaanza tareh 5/1/2016. Kwa kufanya hivi tutawaokoa vijana hawa na Mimba za utotoni, Magonjwa, matumizi ya madawa la kulevya na hata ukabaji. Nawaomba tena tuunganishe nguvu zetu.
A photo posted by Paul Makonda (@paulmakonda) on Dec 30, 2015 at 1:46am PST
0 comments:
Post a Comment