Tuesday, December 22, 2015




MSANII mahiri wa Pop kutoka nchini Marekani,Justine Beiber amefanikiwa kuwafunika wasanii wakubwa na wakali wa Tanzania na Afrika kwa Ujumla kwa trak yake ya 'sorry' kuchezwa mara nyingi zaidi katika vituo vya Redio na Luninga vya hapa nchini.

Kwa mujibu wa chat rasmi ya Cmea na Cosota inayotolewa kila wiki,Justine Beiber amefanikiwa kushika nafasi ya kwanza kwa wiki ya pili sasa,huku Msanii nguli wa Tanzania Diamond akiwa na igizo jipya la 'utanipenda' akiingia moja kwa moja na kukamata nafasi ya tano

0 comments:

Post a Comment