RAIS wa Shirikisho la Soka Nchini TFF,Jamali Malinzi amesema kuwa TFF inawajibu wa kujipanga ili kuhakikisha timu ya taifa ya vijana wa U-17 inafanya vizuri katika michuano ya Afrika iakayo anza mwakani.
Kauli ya Malinzi imekuja saa chache toka timu ya Taifa ya U-17 ikubali kulala kwa goli 3-1 dhidi ya Burundi katika mchezo wa kirafiki
Kombaini ya U17 Tanzania 1 Burundi 3.Tumejifunza.Tunajipanga.U17 Africa qualifiers ni June 2016.
— Jamal Malinzi (@jamalmalinzi) December 6, 2015

0 comments:
Post a Comment