MSANII mahiri wa filamu aliyehamia kwenye bongo Fleva,Snura Mushi ameibuka na kudai kuwa hakuhusika na kashfa za kumtukana mtoto wa H baba,Tanzanite katika shindano la tabasa mwanangu ambalo linawashindanisha watoto mbalimbali ili kumpa mtoto mmoja mwenye mvuto zaidi,ambapo Tanzanite ameshiriki.
Katika ukurasa wake wa kijamii wa instagram,Snura amemshukia HBaba kwa kumsema vibaya kuwana kumtukana kwa kile alichodai kuwa ni kumtukana mwanae na kuhamasisha watuwamtusi Tanzanite katika shindano hilo

0 comments:
Post a Comment