Sunday, December 6, 2015


 

Wakati akihutubia alipokuwa anazindua bunge la 11,Mjini Dodoma Rais Magufuli alihapa kula sahani moja na wauzaji wakubwa wa madawa ya kulevya nchini huku akiwataka wabunge kumpa ushirikiano wa kutosha ili kuweza kukamilisha kazi hiyo.

Zikiwa imepita zaidi ya wiki mbili sasa toka atoe hutuba hiyo,Rasmi tume ya dawa za kudhibiti dawa za kulevya nchini imevunjwa huku wananchi wakiwa na hamu ya kutaka kujua tume mpya itakuwa na jipya gani katika kudhibiti wimbi la matumizi ya dawa za kulevya na uingiaji wa madwa hayo nchini.

Taarifa zinasema kuwa moja kati ya vipengele vitakavyowekwa katika tume inayokuja ni juu ya faini ya adhabu kwa washukiwa wa uuzwaji wa madwa ya kulevya kuwa bilioni moja bila kujali ukubwa wa mzigo wa dawa .

Aidha hii imetajwa kuwa huendwa ikawa kibado madhubuti kwa wafanyabiashara wanajiuhusisha na uuzwaji wa madwa haya,kwani inafahamika kuwa wengi wa wafanyabiashara hao hawana uwezo wa kuliopa pesa hizo,huku wengine wakitajwa kuwa biashara zao zinamtaji wa tahamni ya pesa hiyo kitu ambacho huenda ikawa ni adhabu sahihi kwako.


0 comments:

Post a Comment