BILIONEA na mmiliki wa makampuni ya IPP,Reginaldi Mengi amemuandikia ujumbe wa heri mkewe Jackline Mengi wa kumtakia siku yake ya kuzaliwa ambayo anaisherekea leo.
Mengi ambaye alimuoa Jackline mwanzoni mwa mwaka huu katika sherehe ilizohudhuriwa na watu wachache,amemwambia mkewe huyo kuwa bila yeye hawezi ishi
You are my hope, You are my inspiration, You are my dream come true, You are my reason to live. Happy Birthday @JNtuyabaliwe
— Reginald Mengi (@regmengi) December 6, 2015


0 comments:
Post a Comment